Kama kuna mhusika wa startimes unasoma hapa jua kwamba mnazidi kufukuza wateja na kuwafanya waliotaka kujiunga kufikiria upya,yan mna chanel za ajabu halafu mbaya bado mna taka kuongeza price/kupunguza chanel,yaani nyie OVYO,boresheni huduma ndio muwaige dstv,wale wapo next level
wanasema kuna package mbili
moja ya elfu 9 na nyingine ya elfu 18
ya elfu 18 zinaongezeka channel kama sita tu hivi....
bora dstv tu...
Hamieni Easy TV