Kinachonishangaza ni kuwa wanatangaza kila siku kuwa Live Siri A kupitia KungFuu Tv maajabu chaneli hiyo
haionekani!
Hamieni Easy TV
sio haionekani unalipia 18000 ndo unaiona
Bora ya hata wale wengine EASY TV kuliko hawa Startimes yaan ni kichefuchefu
Nauza cha kwangu, nikikosa mtu wa kumuuzia natafuta mtu mwenye shughuli kama harusi hivi ndio nampelekea zawadi
Hawa wapuuzi!channel zenyewe mbayaaaa! Alafu eti wanazigawanya ulipie zaidi kwa ule upuuzi! Eti kungfu channel! Kungfu zenyewe za majini! Si bora akina kanumba! Channel nyingi hawaongei kiingereza no subtitle alafu unaleta Bongo! Hawa ni wezi wamesharudisha mtaji sasa mwendo wa wizi tu! Wamejaza channel za kichina na lugha yao! Kule mikoani wanakotumia cable kama bukoba hawapati mtu,bukoba unapata channel kama 65 tena channel za muvi kama 8! Nne za muvi za kiafrika na 4 za mbele! Soka unaona mechi zote za england! Dini emanuel tv,ewtn unazipata na zoooote elfu 10 tu! Kuunganisha 50,000.ukiwa bukoba unaenjoy tv! Hawa startimd hutawasikia kule kamwe!Hivi hawa wachina vp? Mbona mm cjaelewa jama? Mana naona chanel zimekata gafla kwani hivo vifurushi vyao vimekaaje? Ni chanel zipi ndo wameziondoa ktk zile za awali? Yani mi sielewi elewi kabisa kama kuna anae elewa anijuze tafadhali....ila hawa jamaa magmash sana
wadau wa jf..naomba leo niwashtaki startime kwa kuwa mimi ni mteja wao lakini sikuhizi ki'ngamuzi hakionyeshi zaidi ya station 10..na zingine ndio zilizonifanya mimi kujiunga na mtandao huo...sasa naomba watueleze kulikoni?..aaahhhh mchina anaboa sana atime....
wadau wa jf..naomba leo niwashtaki startime kwa kuwa mimi ni mteja wao lakini sikuhizi ki'ngamuzi hakionyeshi zaidi ya station 10..na zingine ndio zilizonifanya mimi kujiunga na mtandao huo...sasa naomba watueleze kulikoni?..aaahhhh mchina anaboa sana atime....