Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Unakuta watu wengi walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi, uchumba na ndoa, mathalani walikutana masomoni, kanisani, safarini, kwenye sherehe, semina, kongamano au hata makazini tena bila hata kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu za mkononi kukutana mwanzoni, ispokua technolojia hiyo imekuja baadae kidogo katika kurahisisha kukutana kwao faragha au kwenye mambo mengine..
Lakini cha kushangaza, hivi sasa teknolojia hiyo ya mawasilianao hasa ya simu za mkononi, ndiyo imekua chimbuko na chanzo kikuu cha cha mafarakano, migogoro, uharibifu, kusamabaratika kwa ndoa na pengine kuleta maafa miongoni mwa wanandoa au familia kwenye jamii...
Actualy, tulipokua tukijifunza darasani hususana tukiwa masomoni tulifundishwa masuala ya utandawazi na maendeleo ya teknolojia duniani yanavyofanya kazi, na nakumbuka tulielezwa faida na hasara za mambo hayo kwa kina zaidi.
Nakumbuka miongoni mwa athari tegemewa za utandawazi na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano, hasa ya simu za mkononi ni uongo kukithiri. kwa mfano Mtu anakwambia yupo mbezi kumbe yupo gest hause mbagala ndrani ndrani huko anafanya yake.. nadhani mnaotumia usafiri wa umma huwa mnasiakia uongo unavyosambazwa na wanaokua wanaongea na simu ndani ya kidala...
Lakini pia athari nyingine ni kuchochea hasira, mafarakano, chuki na uadui miongoni mwa familia, wachumba au wanandoa n.k. Mathalani, unamtumia mtu ujumbe au unampigia simu mchumba wako, mume au mkeo, ndugu, jamaa, rafiki au mwanafamilia wako simu inaita tu, na hapokei, na hata akikuta miscalls zako baadae, hakucallback wala kujibu ujumbe ulomtumia.. unadhani matokeo ya hali hiyo si ni pamoja na kuhatarisha amani na kuchochea migogoro ambayo kwenye ndoa inawezakua mibaya zaidi.?.
So, friends, ladies and gentleman, athari na faida za teknolojia ya mawasiliano hasa ya simu za mkononi ni nyingi mno, na binafsi ninadhani ingalikua tumezizingatia vizuri kule masomoni na kuzielewa vyema hasara na faida zake huenda, simu isingekua chanzo au sababu ya kusambaratika kwa chumba na ndoa nyingi nchini..
Ingependeza zaidi kama, mlikutana kanisani basi mkaachanie kanisani, kama ni kazini, michezoni, safarini na kwengineko mlikokutania na sio eti kasimu tu kamkononi tena katochi, kana sambaratisha ndoa yenu iliyodumu kwa zaidi ya miaka8 na mnawatoto wa4 wa kulea dah...
Mlikutana kimjini mjini , muachane kimjini mjini kwa amani tu kama mmeshindwana. mliokutana facebook, IG, X na humu JF, na mpaka leo mko sawa, imara tema mbele zaidi ya teknolojia ya mawasiliano, hakika mmeupiga mwingi vizuri sana, sifa na utukufu mrudushueni Mungu.
Nami Baba yenu katika roho na kweli, nawaombea Baraka na Neema za Mungu zidumu, ziambatane na kuandamana nanyi katika uchumba na ndoa zenu imara sasa, daima na milele, Aimen.