ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha / case ya harddisk ni usb 2.0.
wafanyabiashara wameshazoea mteja akienda dukani anaulizia bidhaa flan bila kuzingaatia ni usb 2.0 iliyopitwa na wakati, hivyo na wao wanajumua hizo usb 2.0 kwa bei rahisi sana maana huko nje hazina soko, wakituletea huku wanatuuzia mbuzi kwenye gunia kwa tena kwa bei sawa ama zinazokaria usb 3.0
watu wengi wanaingizwa chaka kununua vifaa hivi matoleo ya usb 2.0, ukiwa shopping jitahidi walau kununua toleo la usb 3.0, unaweza kucheki hata kwenye box huwa wanaandika.
makasha ya kusomea harddisk za laptop
Wifi adpter
Flash
dvd drive
usb hub
Hard disc dock
LAN Adapter
External graphics card