Tel Aviv: Israel yaendelea na mashambulizi nchini syria

Lakini wayahudi wa namanga si walituambia kuwa Israel na hao waasi ni kitu kimoja?
Wewe ni mjinga sana rafiki, Mseven alisaidiwa na Tanzania kumuondoa Iddi Amin kunvuka Museveni alikua muasi na baada ya vita ghala la silaha la Bushenyi na Mbarara zilidhibitiwa na jeshi la Tanzania kwa siku tatu kisha jishi la Tanzania liliteketeza maghala hayo. Wewe ni mjinga na haujui lolote katika medani za vita
 
Israel inadai kwamba,haitaki Silaha hizo ziangukie mikononi mwa Waasi hao.
Kwamba haitaki serikali mpya iweze kujilinda dhidi ya uvamizi? This is purely selfishness, kwamba wanaotakiwa kuwa na mifumo ya ulinzi ni Israel pekee? Aisee hawa parasites siku yao itakuja tu ataamka Hitler mwingine one day na atawafundisha how to be humble and rational.
 
Propaganda, yaani kila kitu ni cha Iran ili kujustify kulipua? Kwamba Syria ilikua haina maghala ya silaha? Haya kwanini pia wasilipue maghala yenye silaha za Russia au wanajua sio size yao?
 
Mashambulizi ya kimkakati kuhakikisha silaha hazitui mikononi mwa adui
Adui ni nani? Wao Israel walipoiteka Palestina waliona UK au US inaenda maghala ya silaha za WW 2 huko Tel Aviv miaka ya 1948? huu ni ubinafsi sasa unataka warithi nchi isiyo na radar wala air defense ili nchi isitawalike milele?

This is insanity
 
Israel atachukua eneo moja baada ya jingine, mataifa mengi ya kiarabu ni adui wa Israel na Kwa Israel pia ni hivyo hivyo, Kwa kutumia kisingizio cha kiusalama, Israel anakwenda kuchukua maeneo mengi Ili kujiweka the so called usalama wao.
 
Adui ni nani? Wao Israel walipoiteka Palestina waliona UK au US inaenda maghala ya silaha za WW 2 huko Tel Aviv miaka ya 1948? huu ni ubinafsi sasa unataka warithi nchi isiyo na radar wala air defense ili nchi isitawalike milele?

This is insanity
wa Israel wamejifunza, hawataki tena kurudia makosa ya Oct 7.
Sasa hivi wanashambulia kabla ya kushambuliwa.
 
Kwa mara ya kwanza drone ya Yemen haikuonekana kabisa

🇾🇪⚡🇮🇱 Israeli army: A drone penetrated the airspace, apparently coming from Yemen, and hit the city of Yavneh.

🚩 @ResistanceTrench
 
wa Israel wamejifunza, hawataki tena kurudia makosa ya Oct 7.
Sasa hivi wanashambulia kabla ya kushambuliwa.
Kwanini wasimshambulie na Russia huko Syria? Au ungesema tu anashambulia wanyonge tu!
 
Lakini wayahudi wa namanga si walituambia kuwa Israel na hao waasi ni kitu kimoja?
Katika dunia ya kibepari, mnakuwa marafiki kwa jambo ambalo wote mna maslahi nalo, baada ya hapo kila mmoja anayalinda maslahi yake binafsi
 

Ngoja waje salamaleku wa Sikonge uone,umesema Iran hana nguvu!!!! WAO WANAJUA IRAN ANAWEZA KUPIGA DUNIA NZIMA KWA JINA LA ALLAH
 
BREAKING NEWS
Mashambulizi ya Israel Mjini Damscus yaliyolenga Kituo cha kutengeneza Silaha cha Iran yamewaua Watu 48 na kuwajeruhi zaidi ya 100,jeshi la Israel limesema linachunguza tukio hilo.
Uturuki imeisihi Israel kujizuia kufanya mashambulizi nchini Syria kwani Serikali ya waasi bado haijatengamaa.


View: https://youtu.be/fDZ3S7NoOVM?si=zIzZ1XSFbRJC2hU1
 
Pole Sana mkuu
Kwani ayatollah na waarabu wameshindwa kuwafundisha ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…