Waogoa wakifo anataka apigane na mtu asiwe na uwezo wakusaidiwa au kusambaziwa mokombora iwe kama Gaza uku yeye anapokea misaada apo ndio anajitutumua na kudanganya eti yeye ashindwi vitawa Israel wamejifunza, hawataki tena kurudia makosa ya Oct 7.
Sasa hivi wanashambulia kabla ya kushambuliwa.