Telecom Engineering ni Dili au ni nzur kwa kuisomea kwa xaxa?


ahsante kaka but kwan kwenye Vyombo vya habar na Banks hazihitaji Telecom n kwenye simu tuu?
 
Ahsante kaka kwa ushauri wako mzuri me naipenda sana Telecom sema maneno ya watu wanasema siku hizi cio dili kuajiriwa ni vigumu but me nlitaka nkimaliza OD nikachukue Degree

Kama kweli we ni timamu huwezi babaishwa na maneno ya watu!! Kama unapenda TEL just go for it!! Ni bora usome unachopenda maana ukisoma kitu kulingana na watu itakusumbua tu mbeleni!! Na mwisho wa siku watu hao hao uliowaskiliza wataanza kukucheka umefeli!! Sasa hapo changanya na zako!!! Lakini lazima niwe mkweli huu uandishi wako wa kifesibuku fesibuku unatia kinyaa...unakua kama hujui kuandika bwana???? Embu rekebika kijana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…