Zarafi Zekitabu
Member
- Oct 22, 2013
- 38
- 0
- Thread starter
- #41
Ilikuwa hot cake ni course nzuri ...ila inaonekana kama vile wataalam wamekuwa wengi kulinaganisha na nafasi za kazi ingawa kitalakimu ni wachache kulinganisha na mchepuo kama wa civil etc....wadau wake wakubwa ni makampuni ya simu,na Aviation na wehemu zingine kidogo kidogo.
Unaposoma kwa maisha ya sasa unaangalia soko la ajira ...soko la Telecom liko saturated(maji yamezidi unga ama unga umezidi maji either way...wataalam wamezidi nafasi za kazi) kwa sasa ...ila you never know ngoma ya mchezo inaweza kubadilika kidogo kama makampuni ya simu mengine yakiibuka demand ya Telem expertise inaweza ongezeka.
Pili unaweza soma hiyohiyo na kuangalia namna ya kujiajili au kwenda nchi za jirani zenye uhitaji
Unajikuta mwisho wa siku wewe ndio mwenye maamuzi cha muhimu ni kujua tuu what to expect
ahsante kaka but kwan kwenye Vyombo vya habar na Banks hazihitaji Telecom n kwenye simu tuu?