Telegram Launches Video Calls on Android and iOS

TELEGRAM NI BORA KWA SABABU NYINGI SIO MAKUNDI PEKEE
1. usalama wa taarifa
2. inatumika kwenye kila kifaa ukiwa na akaunti moja tu
3. ukitumia telegram taatifa zako zinahifadhiwa kwenye cloud na sio kwenye kifaa hivyo unaweza kupata ujumbe hata uliotuma mwaka juzi.
4. kuna usiri wa hali ya juu.
5. sio rahisi kudukua taarifa kama ilivyo kwenye whatsapp
Ni vegezo na ithibati ipi inapelekea Telegram kuwa na usiri wa hali ya juu na usalama kushinda WhatsApp?

Binafsi hutumia WhatsApp katika vifaa tofauti kwa akaunti moja!

Uhifadhi wa Cloud unaozungumzia ni sawa na backup inaorushwa katika nyumba kolezo ya barua pepe (Drive/Cloud) tokea WhatsApp na jumbe zako hurejea kama awali

Je upo uthibitisho wa udukuaji kupitia WhatsApp na Telegram haijakumbana na suala hilo?
 
Yes! Asilimia kadhaa walikosoa mtindo huo mpya kutoka WhatsApp, lakini dhumuni la WhatsApp lilikuwa ni hilo kuwezesha kutambua mapungufu na kupokea mapendekezo mapya.

Utaona mtindo huo kwa asilimia kubwa umekataliwa Brasil lakini umepokelewa vizuri Australia, Chile na India. Wanafanya maboresho na kutengeneza affiliation market na locals katika destination lengwa na hakika itakuwa.

jamaa inaonekana unajua vitu vingi sana
 
Ni vegezo na ithibati ipi inapelekea Telegram kuwa na usiri wa hali ya juu na usalama kushinda WhatsApp?

Binafsi hutumia WhatsApp katika vifaa tofauti kwa akaunti moja!

Uhifadhi wa Cloud unaozungumzia ni sawa na backup inaorushwa katika nyumba kolezo ya barua pepe (Drive/Cloud) tokea WhatsApp na jumbe zako hurejea kama awali

Je upo uthibitisho wa udukuaji kupitia WhatsApp na Telegram haijakumbana na suala hilo?
Watu wameshapiga umbea kwenye groups za whatsapp wakaishia kujikuta wapo selo. Hayo mambo hayapo telegram.

Halafu uache uongo, mpaka sasa bado huwezi kutumia whatsapp account moja kwenye device mbili. Usilete habari za whatsapp web.

Whatsapp ukijiunga kwenye group participants wote wanaweza kuiona namba yako, hicho kitu telegram hakipo.
 
Suala la mhusika kujikuta katika sheria ni coordinates za utumiaji ovu wa mitandao na kujikuta wameongeza watu wenye lengo la kutafuta mhusika mwenye sifa hiyo katika makundi ya kimtandao.

Mhusika aliandika “Device” akueleza utumiaji wa vishkwambi tu! Device ni mjumuiko wa vifaa tofauti. Nimejibu kwa kuzingatia protokali za kimantiki na uhusiano wa juu.

Uwezo kuona na kutokuona namba ni ndio utofauti wenyewe na preference za wahusika. Ndio utofauti wenyewe, kila mtu atajenga nyumba yenye vyumba vitano lakini ramani itakuwa na utofauti.

At the end! Hili suala ni utashi na mapenzi ya mhusika na haki ya faragha na uchaguzi binafsi. Personally WhatsApp ni way better.
 
Telegram na wechart ni nzuri sana sema sijui kwa nini zimeshindwa kutoboa kidunia aisee
Wechat ni mtandao wa kichina wanautumia sana ule, lakini personally huwezi ulinganisha na whatsapp kwakuwa whatsapp its all about simplicity, wechat ina utitiri wa mambo
 
Na huo utitiri ndio ninaoutak sipend vitu rahisi always napenda complicated, mfano ule ugumu wa window phone nilikua naupenda sana
 
Basi ni wachache, maana kwenye kudevelope app, simplicity ni muhimu sana ili upate users wengi. Jiulize hiyo windows phhone kwanini ilifail hata developers waliikataa. Wewe ni kati ya wachache. Wechat nimeitumia ina mambo mengi lakini whatsapp iko poa sana
 
Uko sahihi window haikua friend users kabisa smtyms unaweza iacha simu mezani ukakuta mchepuko kashindwa kusoma ata sms tu, namisi sana Kuping, na vitu vingine aisee, nina swali kwa we chart pia,
Mtu ukishake simu yako itakuletea member mwingine ambaye nae ameshake simu je hapo mnaanzaje mawasilaino, naimani umenielewa
 
Unajua nina zaidi ya miaka miwili toka nitumie wechat, nakumbuka ilipokuwa ianiletea namclick then tunachat, halafu kulikuwa na ile ya kutupa chupa mton mtu aikote.
Windows phone hata mimi sikuwahi kuipenda thou simu za lumia nilikuwa nazipenda
 
Basi ni wachache, maana kwenye kudevelope app, simplicity ni muhimu sana ili upate users wengi. Jiulize hiyo windows phhone kwanini ilifail hata developers waliikataa. Wewe ni kati ya wachache. Wechat nimeitumia ina mambo mengi lakini whatsapp iko poa sana
Well said Nafaka hii ni sababu kubwa ya Telegram na WeChat kutofanya vizuri zaidi katika soko la dunia.
 
WhatsApp ni bora, lakini nafikiri vijana wengi wanakimbilia Telegram sababu ya groups za ajabu.
Hapana mkuu! Telegram inakupa vitu vingi sanaa!
1. Sihitaji kuweka back up chats zangu, automatically tu utazikuta.
2. Inakupa options ya kuwa na secret chat. Kwenye hiyo secret chat huwa na vitu kama:
- use end-to-end encryption
- Leave no trace
- Self destruct timer ( hapa ni message kujifuta kwa mtu unayemtumia automatically baada ya ku-set kama utaweka sekunde, dakika n.k.)
- do not allowing forwarding.
NB. Ina channel nyingi ambazo unaweza ukajiunga nazo kwa matumizi yako binafsi. Iwe programs za computer, simu, books [emoji432], music, movies, sports na vitu vingi. Hivyo ni baadhi ya vitu utakavyoweza nufaika nayo.
 
Oh vizuri! Ni channels zipi zenye EA's wengi huko? By ranking na maudhui yapi?
 
Kama unapenda mambo ya usiri Telegram inafaa,ila kama huna haja ya kuwa na usiri uliopitiliza tumia tu WhatsApp...
 
Telegram na wechart ni nzuri sana sema sijui kwa nini zimeshindwa kutoboa kidunia aisee
Sababu siyo ya wamarekani telegram iko powa sana ina future nzuri na usiri upo ata kama si salama Kwa asilimia Mia Ila iko gud sana hasa Kwa watu wanaochati kwenye channels
 
Wakubwa pia mi naomba kusaidiwaa

End to end encryp ninii kwenye hii wasap na Telegram ina maana ganii...?

Pia setting zotee za usiri zipo pande ganii..?

Pia Hii telegram kweli naipenda sanaa
 
Back
Top Bottom