isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Ni vegezo na ithibati ipi inapelekea Telegram kuwa na usiri wa hali ya juu na usalama kushinda WhatsApp?TELEGRAM NI BORA KWA SABABU NYINGI SIO MAKUNDI PEKEE
1. usalama wa taarifa
2. inatumika kwenye kila kifaa ukiwa na akaunti moja tu
3. ukitumia telegram taatifa zako zinahifadhiwa kwenye cloud na sio kwenye kifaa hivyo unaweza kupata ujumbe hata uliotuma mwaka juzi.
4. kuna usiri wa hali ya juu.
5. sio rahisi kudukua taarifa kama ilivyo kwenye whatsapp
Binafsi hutumia WhatsApp katika vifaa tofauti kwa akaunti moja!
Uhifadhi wa Cloud unaozungumzia ni sawa na backup inaorushwa katika nyumba kolezo ya barua pepe (Drive/Cloud) tokea WhatsApp na jumbe zako hurejea kama awali
Je upo uthibitisho wa udukuaji kupitia WhatsApp na Telegram haijakumbana na suala hilo?