raiswenu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2018
- 848
- 1,535
Sorry kwa kuchelewa kukujibu.Unaweza kutushirikisha ujanja huo?
1. Ina public groups ambazo Siyo lazima uwe na link au mtu akuunganishe ila unaweza ku search zikatokea then ukajiunga
2. Ina uwezo mkubwa wa kutuma mafaili makubwa zaidi ya 2.0 GB unaweza ku share
3. Group lolote utakalo jiunga utakuta data zote za kipindi cha nyuma kabla hujajiunga na unakuwa na access nazo
4. Unaweza ukachange color, night mode Ili usiumie macho
5. Kwenye Pic inakaa kama independent program, Una sign in kwa kutumia namba uliyotumia kujiunga kwenye simu basi, haina kuscan code kama kwenye watsup.
6. Kuna public groups za software, tutorials, movies, books etc una download mpaka basi.
7. User friendly