Telegram Launches Video Calls on Android and iOS

Unaweza kutushirikisha ujanja huo?
Sorry kwa kuchelewa kukujibu.
1. Ina public groups ambazo Siyo lazima uwe na link au mtu akuunganishe ila unaweza ku search zikatokea then ukajiunga

2. Ina uwezo mkubwa wa kutuma mafaili makubwa zaidi ya 2.0 GB unaweza ku share

3. Group lolote utakalo jiunga utakuta data zote za kipindi cha nyuma kabla hujajiunga na unakuwa na access nazo

4. Unaweza ukachange color, night mode Ili usiumie macho

5. Kwenye Pic inakaa kama independent program, Una sign in kwa kutumia namba uliyotumia kujiunga kwenye simu basi, haina kuscan code kama kwenye watsup.

6. Kuna public groups za software, tutorials, movies, books etc una download mpaka basi.

7. User friendly
 
Kaka naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza group link niweze kushair link ktk watu wangu wajiunge ktk group languu
 
Back
Top Bottom