Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram, Pavel Durov, ameripotiwa kukubali kutoa anwani za IP na namba za simu za watumiaji app yake kwa serikali mbalimbali duniani ambazo zitaomba data za watumiaji wake.
Durov, bilionea mwenye uraia wa Urusi na Ufaransa, ambaye alikamatwa nchini Ufaransa mwezi uliopita na kushtakiwa kwa makosa kadhaa ikiwa ni pamoja na kusaidia kusambaza video za ngono za watoto kupitia app yake ya Telegram, alitangaza taarifa hiyo Jumatatu.
Kwa mujibu wa Durovu alidokeza kuwa Telegram imebadilisha masharti yake ya huduma ili kuzuia na kukabiliana na wahalifu wanaotumia huduma hiyo.
Taarifa hii mpya inaonesha mabadiliko makubwa kutoka kwenye sera za awali za Telegram ambazo mara nyingi zilikuwa zikikataa maombi ya serikali ya kupata data za watumiaji.
Soma Pia: CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa
Telegram ilivutis mamilioni ya watumiaji duniani kote kutokana na sifa yake ya kulinda faragha za watumiaji kwa kuepuka kukusanya data zao na kukataa ushirikiano na maafisa wa serikali.
Durov aliandika kwenye chapisho lake katika chaneli yake ya Telegram kuwa masharti hayo mapya ya huduma yao yana lengo la "kuhakikisha app hiyo inaendana na sheria ya kote duniani,"
================
Messaging app Telegram made significant changes to its terms of service, chief executive officer Pavel Durov said in a post on the app on Monday.
The app’s privacy conditions now state that Telegram will now share a user’s IP address and phone number with judicial authorities in cases where criminal conduct is being investigated.
Telegram-linked Toncoin (TON) declined about 1% after Bloomberg first reported about the changes. The token is currently trading at $5.62.
The changes come after Durov was arrested in France last month, when authorities alleged his company let users abuse the app for illegal activities, including drug trafficking, distribution of child sexual abuse material (CSAM) and fraud.
Source: Politico, New York Post