Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Telegram sasa ina zaidi ya watumiaji bilioni 1 kwa mwezi, na kuwa program ya pili maarufu zaidi ya kutuma ujumbe ulimwenguni (ikiondoa WeChat, ambayo ni maalum kwa China) 🥈
Ushiriki wa watumiaji pia unazidi kuongezeka. Kila mtumiaji hufungua Telegram wastani wa mara 21 kwa siku na hutumia dakika 41 kwenye programu kila siku. Wakati huo huo, ukuaji wa mapato ya Telegram yamelipuka, kukiwa na faida ya $547M mnamo 2024 💵
😺 Mbele ya telegram kuna WhatsApp toleo la bei rahisi na duni la Telegram. Kwa miaka mingi, wamejaribu kwa udi na uvumba kunakili ubunifu wetu huku wakitumia mabilioni kwa kushawishi na kampeni za PR ili kutuchelewesha. Wameshindwa. Telegram imekua, ikawa na faida, na tofauti na mshindani wetu imedumisha uhuru wake 🗽
✉️ Huu ni mwanzo tu 😏