Telegram Yafikia Watumiaji Bilioni 1 na Kufanikiwa Zaidi Kuliko Washindani Wake

Hata telegram sasa hivi huwezi weka inapigwa ban labda private groups ila kwa Whatsapp mbona Kuna group za ngono nyingi mno
Mkuu Kuna chanel nyingi za ngono telegram ukiiona imekula ban ujue Kuna wajinga wameripot, same kwenye movie chanel
 
Hata channels za vitabu ni hivyo hivyo. Lijinga limoja likiripoti ndiyo channel inapigwa chini eti copyrights infringement wakati kuna channels maelfu na maelfu za vitabu
 
Huu mtandao umekuwa mgumu sana kufunguka sasa hivi. Bila shaka umepigwa pini?!
 
Mkuu Kuna chanel nyingi za ngono telegram ukiiona imekula ban ujue Kuna wajinga wameripot, same kwenye movie chanel
Lakini huoni telegram features zake zipo advanced sana Mimi na mafile yapo kule since 2020 kila nikibadili simu bado yapo
 
Back
Top Bottom