Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Telegram wapo vizuri kwenye kila kituNiona telegram huwa nawaza mbali
Niona telegram huwa nawaza mbali
Sana alafu infact haijawahi kuji advertise kabisaTelegram walichelewa kidogo tu lakini ni bora kuliko Whatsapp kwa kila kitu. Ingekuwa kampuni ya Wamarekani bila shaka ingeshachangamka mapema.
Ngono! Hakuna chochoteTelegram sasa ina zaidi ya watumiaji bilioni 1 kwa mwezi, na kuwa program ya pili maarufu zaidi ya kutuma ujumbe ulimwenguni (ikiondoa WeChat, ambayo ni maalum kwa China) π₯
View attachment 3276736
Ushiriki wa watumiaji pia unazidi kuongezeka. Kila mtumiaji hufungua Telegram wastani wa mara 21 kwa siku na hutumia dakika 41 kwenye programu kila siku. Wakati huo huo, ukuaji wa mapato ya Telegram yamelipuka, kukiwa na faida ya $547M mnamo 2024 π΅
πΊ Mbele ya telegram kuna WhatsApp toleo la bei rahisi na duni la Telegram. Kwa miaka mingi, wamejaribu kwa udi na uvumba kunakili ubunifu wetu huku wakitumia mabilioni kwa kushawishi na kampeni za PR ili kutuchelewesha. Wameshindwa. Telegram imekua, ikawa na faida, na tofauti na mshindani wetu imedumisha uhuru wake π½
βοΈ Huu ni mwanzo tu π
Utakufa vibaya wewe nakuhurumia π€£π€£Unawaza,
Sina huduma ya kufuata mteja wala kutuma picha.
Chumba kizuri na maji ya moto ya kuoga
Natoa huduma zote
Kulala kuanzia saa 5 usiku
Ukinichatisha unakula block.
Vipi nini cha ziada kuliko whatsapp?Telegram wapo vizuri kwenye kila kitu
Sex sells...grown ups love to get nakedNgono! Hakuna chochote
ukiona hivo ujue wewe ndio unafuata ngono kule.Ngono! Hakuna chochote
Tele iko na ubora gani kushinda sap?Mbele ya telegram kuna WhatsApp toleo la bei rahisi na duni la Telegram.
Kampeni za PR ni nini mkuu?Telegram sasa ina zaidi ya watumiaji bilioni 1 kwa mwezi, na kuwa program ya pili maarufu zaidi ya kutuma ujumbe ulimwenguni (ikiondoa WeChat, ambayo ni maalum kwa China) π₯
View attachment 3276736
Ushiriki wa watumiaji pia unazidi kuongezeka. Kila mtumiaji hufungua Telegram wastani wa mara 21 kwa siku na hutumia dakika 41 kwenye programu kila siku. Wakati huo huo, ukuaji wa mapato ya Telegram yamelipuka, kukiwa na faida ya $547M mnamo 2024 π΅
πΊ Mbele ya telegram kuna WhatsApp toleo la bei rahisi na duni la Telegram. Kwa miaka mingi, wamejaribu kwa udi na uvumba kunakili ubunifu wetu huku wakitumia mabilioni kwa kushawishi na kampeni za PR ili kutuchelewesha. Wameshindwa. Telegram imekua, ikawa na faida, na tofauti na mshindani wetu imedumisha uhuru wake π½
βοΈ Huu ni mwanzo tu π
Kumbe mkuu na wewe unahusika kwenye telegramkunakili ubunifu wetu
Huoni kama hilo ni kosa pia?Sana alafu infact haijawahi kuji advertise kabisa
Kwanini mkuu?Huoni kama hilo ni kosa pia?
Kwanini mkuu??Kumbe mkuu na wewe unahusika kwenye telegram
Wewe ndio huwezi kuona lakini Leo hii nikitaka kukutumia movie lazima nitumie telegram, picha zenye high quality Kuna mini apps kule important kwa watu, telegram Ina privacy kubwa sio kama WhatsappVipi nini cha ziada kuliko whatsapp?
Una uwakik huko Whatsapp ndio hakuna??Ngono! Hakuna chochote