Telegram Yafikia Watumiaji Bilioni 1 na Kufanikiwa Zaidi Kuliko Washindani Wake

Telegram nayo ni ya Wachagga?
 
Hivi sasa hivi unainstall vipi maana si nasikia imefungiwa au ndio mpaka kwa VPN? Ukiweka VPN meseji inarudi kweli ile code?
 
Telegram inanamba kubwa sababu ya watu wa Asia na bots ni nyingi sana Ina features nzuri ila kama sio mtu wa kusoma vitabu, kushusha movie, mwangalia ngona, mnunua Malaya na mtu wa kubeti telegram ni miyayusho
 
😂Hivi kwani ata Whatsapp si inatumika kwenye mambo ya video za ngono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…