Televisheni za kimataifa: CNN, BBC, Aljazeera nk zinaleta taharuki, zifungiwe kwa muda wa mwezi mmoja!

Televisheni za kimataifa: CNN, BBC, Aljazeera nk zinaleta taharuki, zifungiwe kwa muda wa mwezi mmoja!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
3,373
Reaction score
6,795
Watazamaji wengi wanapata taharuki toka kwenye vituo hivi. Wana equate madhila ya nchi za nje na kufanya kwamba hali hiyo ndivyo ilivyo hapa nchini.

Sasa maofisi mengi yanafungwa kwa kasi ya mwanga maana waangaliaji wa vituo hivi ni watu wakubwa kwenye taasisi na mashirika mbali mbali ambao kwa sasa wamekwisha taharuki.

Tusipodhibiti 'uvujaji' wa taarifa zisizotuhusu tutapata athari kubwa kiuchumi.

Badala ya kufunga sijui Airport na mipaka, ni bora kufungia hizi stations... TCRA chukueni hatua.
 
Watazamaji wengi wanapata taharuki toka kwenye vituo hivi.. Wana equate madhila ya nchi za nje na kufanya kwamba hali hiyo ndivyo ilivyo hapa nchini.. Sasa maofisi mengi yanafungwa kwa kasi ya mwanga maana waangaliani wa vituo hivi ni watu wakubwa kwenye taasisi na mashirika mbali mbali.
Tusipodhibiti 'uvujaji' wa taarifa zisizotuhusu tutapata athati kubwa kiuchumi.
Badala ya kufunga sijui Airport na mipaka, ni bora kufungia hizi stations... TCRA chukueni hatua.
Mtu anayetoa mawazo haya ni shida kwa jamii
 
. Dawa ni kufanya self censorship, usiangalie.
Hili ndo la msingi. Mtu anachoweza kufanya ni kujizuia kuangalia. Kama akishindwa, avunjevunje TV kabisa. Hii ni sawa na kuwaomba Mods wafungie jukwaa flani kwa kuwa tu linarusha vitu usivyohimili kusoma.
 
huyu kama anazurika na taarifa azifanye taarifa hizi kama zile movie za rambo na swaziniger basi roho yake itatulia
 
Hatuwezi kutatua matatizo kwa kujidanganya kwamba hayapo. Dawa ni kuukubali ukweli na kutafuta njia ya kuyatatua
 
Watazamaji wengi wanapata taharuki toka kwenye vituo hivi.. Wana equate madhila ya nchi za nje na kufanya kwamba hali hiyo ndivyo ilivyo hapa nchini.. Sasa maofisi mengi yanafungwa kwa kasi ya mwanga maana waangaliaji wa vituo hivi ni watu wakubwa kwenye taasisi na mashirika mbali mbali ambao kwa sasa wamekwisha taharuki.
Tusipodhibiti 'uvujaji' wa taarifa zisizotuhusu tutapata athari kubwa kiuchumi.
Badala ya kufunga sijui Airport na mipaka, ni bora kufungia hizi stations... TCRA chukueni hatua.
We ni takataka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom