Televisheni za kimataifa: CNN, BBC, Aljazeera nk zinaleta taharuki, zifungiwe kwa muda wa mwezi mmoja!

Televisheni za kimataifa: CNN, BBC, Aljazeera nk zinaleta taharuki, zifungiwe kwa muda wa mwezi mmoja!

Naunga mkono, ila kiukweli hali kwa wenzetu ni mbaya sana. Dawa ni kufanya self censorship, usiangalie.
P
Labda kama ni propaganda.
Kutoangalia ni kutojifunza!

Jamii lazima ijifunze kupita kweli zilizopo katika dunia na kwa kupitia vyombo vya habari.

Mwanahabari unapokua na mawazo haya ni hatari sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kama ni propaganda.
Kutoangalia ni kutojifunza!
Jamii lazima ijifunze kupita kweli zilizopo katika dunia na kwa kupitia vyombo vya habari.
Mwanahabari unapokua na mawazo haya ni hatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukirazama sana bad news unakuwa affected. Mimi kama mwanahabari, CPU ya brain yangu ni 16GB na memory ni 2TB, hivyo naweza kuzamisha info za kila aina, ila nafanya selectivity kuchagua ili nisiichose CPU ku process a lot.
24/7 niko Alert online kwenye jf, fb, Twitter, YouTube, email, blogs, na live TV then you choose what to watch and what not.
Kwenye Corona namsikiliza Magufuli, Majaliwa na Ummy, sisikilizi kinachotokea Italy.
P
 
Rais wa Brazil ameziponda media vilevile, amesema haya ni mafua tu watu wapige kazi. Rais wa Mexico vile vile. Naona na sisi kama tunaelekea huko taratibu.
Mexico wana uzoefu kiasi na magonjwa ya milipuko aina hii kumbuka kipindi cha homa ya mafua ya nguruwe (swine flu) ambayo yalisumbua sana huko.
 
Kati ya thread zilizowahi andikwa JF alafu zikawa na mawazo pumba hii ni no1
Unaonesha jinsi gani Tz kuna wapuuzi type yako wakutosha hivi unazani kuzuia habari ni njia ya kupambana na tatizo lisilo 7bishwa na hiyo habari?
Endapo ushdauri wako ukifwatwa kufukia 7/72020 Tz tutabak less than 0.75
 
Rais wa Brazil ameziponda media vilevile, amesema haya ni mafua tu watu wapige kazi. Rais wa Mexico vile vile. Naona na sisi kama tunaelekea huko taratibu.
Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro, Rais wa Mareiani, Donald Trump, Rais wa Tanzania, John Magufuli zote ni personality sawa, Wako pragmatic na sio wafuata Mkumbo.. Eti fikiria nchi kama India imefungia watu bilioni 1.3 ndani kwa ajili ya ugonjwa huu,
 
Umeandika upoyoyo. kazi ya media ni pamoja nakuhabarisha sasa kama wewe akili yako ni ndogo haina uwezo wakuchuja mambo ilo ni tatizo lako.Lakini pia watu wanatakiwa wajue athari zinazotokana na ilo janga jinsi linavyotesa wengine ili tuchukue tahadhari.Sasa kama hujui kinachoendelea utachukuaje tahadhari thabiti.
 
Watazamaji wengi wanapata taharuki toka kwenye vituo hivi. Wana equate madhila ya nchi za nje na kufanya kwamba hali hiyo ndivyo ilivyo hapa nchini.

Sasa maofisi mengi yanafungwa kwa kasi ya mwanga maana waangaliaji wa vituo hivi ni watu wakubwa kwenye taasisi na mashirika mbali mbali ambao kwa sasa wamekwisha taharuki.

Tusipodhibiti 'uvujaji' wa taarifa zisizotuhusu tutapata athari kubwa kiuchumi.

Badala ya kufunga sijui Airport na mipaka, ni bora kufungia hizi stations... TCRA chukueni hatua.
Khaaa.wewe unachekesha sana.kwa hiyo wasiripoti uhalisia wa Mambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom