JipuKubwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 2,341
- 2,390
Akili za uzeeni hizi kuna wakati unakuwa kama mtoto vile.Watazamaji wengi wanapata taharuki toka kwenye vituo hivi.. Wana equate madhila ya nchi za nje na kufanya kwamba hali hiyo ndivyo ilivyo hapa nchini.. Sasa maofisi mengi yanafungwa kwa kasi ya mwanga maana waangaliaji wa vituo hivi ni watu wakubwa kwenye taasisi na mashirika mbali mbali ambao kwa sasa wamekwisha taharuki.
Tusipodhibiti 'uvujaji' wa taarifa zisizotuhusu tutapata athari kubwa kiuchumi.
Badala ya kufunga sijui Airport na mipaka, ni bora kufungia hizi stations... TCRA chukueni hatua.
Sent using Jamii Forums mobile app