Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Mtu anayetoa mawazo haya ni shida kwa jamiiWatazamaji wengi wanapata taharuki toka kwenye vituo hivi.. Wana equate madhila ya nchi za nje na kufanya kwamba hali hiyo ndivyo ilivyo hapa nchini.. Sasa maofisi mengi yanafungwa kwa kasi ya mwanga maana waangaliani wa vituo hivi ni watu wakubwa kwenye taasisi na mashirika mbali mbali.
Tusipodhibiti 'uvujaji' wa taarifa zisizotuhusu tutapata athati kubwa kiuchumi.
Badala ya kufunga sijui Airport na mipaka, ni bora kufungia hizi stations... TCRA chukueni hatua.
Akili kubwa za Ccm hiziHizi ndizo akili za lumumba!Daaah,aliyewaroga kafa!
Hili ndo la msingi. Mtu anachoweza kufanya ni kujizuia kuangalia. Kama akishindwa, avunjevunje TV kabisa. Hii ni sawa na kuwaomba Mods wafungie jukwaa flani kwa kuwa tu linarusha vitu usivyohimili kusoma.. Dawa ni kufanya self censorship, usiangalie.
Naunga mkono, ila kiukweli hali kwa wenzetu ni mbaya sana. Dawa ni kufanya self censorship, usiangalie.
P
Kinachotokea huko kwa wenzetu kinatoa fundisho kwetu. Sasa tusipoona athari hizo tutachukuliaje serious kuhusiana na ukubwa wa tatizo?Naunga mkono, ila kiukweli hali kwa wenzetu ni mbaya sana. Dawa ni kufanya self censorship, usiangalie.
P
Rais wa Brazil ameziponda media vilevile, amesema haya ni mafua tu watu wapige kazi. Rais wa Mexico vile vile. Naona na sisi kama tunaelekea huko taratibu.Naunga mkono, ila kiukweli hali kwa wenzetu ni mbaya sana. Dawa ni kufanya self censorship, usiangalie.
P
Kaka mayalla hii reply ni yako au nimeona vibaya?Naunga mkono, ila kiukweli hali kwa wenzetu ni mbaya sana. Dawa ni kufanya self censorship, usiangalie.
P
🤣🤣🤣Mficha uchi, hazai!!
We ni takatakaWatazamaji wengi wanapata taharuki toka kwenye vituo hivi.. Wana equate madhila ya nchi za nje na kufanya kwamba hali hiyo ndivyo ilivyo hapa nchini.. Sasa maofisi mengi yanafungwa kwa kasi ya mwanga maana waangaliaji wa vituo hivi ni watu wakubwa kwenye taasisi na mashirika mbali mbali ambao kwa sasa wamekwisha taharuki.
Tusipodhibiti 'uvujaji' wa taarifa zisizotuhusu tutapata athari kubwa kiuchumi.
Badala ya kufunga sijui Airport na mipaka, ni bora kufungia hizi stations... TCRA chukueni hatua.