Ridhwani Mbaraka
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 484
- 1,135
Labda kama ni propaganda.Naunga mkono, ila kiukweli hali kwa wenzetu ni mbaya sana. Dawa ni kufanya self censorship, usiangalie.
P
Ukirazama sana bad news unakuwa affected. Mimi kama mwanahabari, CPU ya brain yangu ni 16GB na memory ni 2TB, hivyo naweza kuzamisha info za kila aina, ila nafanya selectivity kuchagua ili nisiichose CPU ku process a lot.Labda kama ni propaganda.
Kutoangalia ni kutojifunza!
Jamii lazima ijifunze kupita kweli zilizopo katika dunia na kwa kupitia vyombo vya habari.
Mwanahabari unapokua na mawazo haya ni hatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanya selectivity.Sasa asipoangalia atajifunza nini kwa kinachoendelea duniani? Kwani wanatangaza uwongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mexico wana uzoefu kiasi na magonjwa ya milipuko aina hii kumbuka kipindi cha homa ya mafua ya nguruwe (swine flu) ambayo yalisumbua sana huko.Rais wa Brazil ameziponda media vilevile, amesema haya ni mafua tu watu wapige kazi. Rais wa Mexico vile vile. Naona na sisi kama tunaelekea huko taratibu.
Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro, Rais wa Mareiani, Donald Trump, Rais wa Tanzania, John Magufuli zote ni personality sawa, Wako pragmatic na sio wafuata Mkumbo.. Eti fikiria nchi kama India imefungia watu bilioni 1.3 ndani kwa ajili ya ugonjwa huu,Rais wa Brazil ameziponda media vilevile, amesema haya ni mafua tu watu wapige kazi. Rais wa Mexico vile vile. Naona na sisi kama tunaelekea huko taratibu.
Khaaa.wewe unachekesha sana.kwa hiyo wasiripoti uhalisia wa Mambo?Watazamaji wengi wanapata taharuki toka kwenye vituo hivi. Wana equate madhila ya nchi za nje na kufanya kwamba hali hiyo ndivyo ilivyo hapa nchini.
Sasa maofisi mengi yanafungwa kwa kasi ya mwanga maana waangaliaji wa vituo hivi ni watu wakubwa kwenye taasisi na mashirika mbali mbali ambao kwa sasa wamekwisha taharuki.
Tusipodhibiti 'uvujaji' wa taarifa zisizotuhusu tutapata athari kubwa kiuchumi.
Badala ya kufunga sijui Airport na mipaka, ni bora kufungia hizi stations... TCRA chukueni hatua.
🤣🤣🤣
Watu wengine buana mpo kuongeza siku za wengine, maana kucheka napo ni afya, mkuu nimecheka hataree, nimelinganisha kilichoandikwa na ulichoandika ni vitu viwili tofauti, nimechekaje