Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona wanaonyesha mkutano wa chama
AiseeShirika lenyewe lote linä kamera moja tu ämbàýo ipo ziaran kwa raisi tena ya tekno
Hapana. Kama sikosei mashindano hayo yapo kwenye mfumo wa ligi. Taifa stars IPO kundi L lenye Uganda, Lesotho na Cape Verde. Uganda walishinda kwa Cape Verde na Taifa Stars walidraw kwa Lesotho. Kama kumbukumbu zangu zipo sawa bas msimamo utakuwa hivi,Sasa kwa matokeo haya ndo bye bye au inakuwaje ?