Television ya taifa (TBC1) na Timu ya taifa (taifa stars)

Television ya taifa (TBC1) na Timu ya taifa (taifa stars)

Shirika lenyewe lote linä kamera moja tu ämbàýo ipo ziaran kwa raisi tena ya tekno
 
Sasa kwa matokeo haya ndo bye bye au inakuwaje ?
Hapana. Kama sikosei mashindano hayo yapo kwenye mfumo wa ligi. Taifa stars IPO kundi L lenye Uganda, Lesotho na Cape Verde. Uganda walishinda kwa Cape Verde na Taifa Stars walidraw kwa Lesotho. Kama kumbukumbu zangu zipo sawa bas msimamo utakuwa hivi,
1. Uganda 4 points
2. Tanzania 2 points
3. Lesotho 1
4. Cape Verde 0
Itategemea matokeo ya hao wenzetu.
 
Azam wangeonyesha Ila siku hizi penda usipende macho Ni tbc1 tu. Nyingine zote maabusu.
 
Back
Top Bottom