Tema Cheche aweka wazi mahari ya ni milioni mia moja

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Mrembo Dalali Pink ambaye ni mwendeshaji wa kipindi cha Tema Cheche cha Tiktok ameweka wazi kuwa mahari yake ni milioni mia kwa Mwanaume ambaye anataka kumuoa na kama itashuka sana basi milioni 90.

Dalali Pink amesema kuwa kiwango hicho cha mahari ameweka kwasababu yeye ni mzuri ana macho mazuri na anasheupu.

​
 
Mkuu jaribu kuchuja baadhi tarifa sio kila tarifa yakuileta jukwaani.
 
Ndio nani huyo, baada ya kuliwa weee tena usikute mbele na nyuma ndio wanataka kujiongezea thamani kwa kipi
 
Kama hela ipo una mnunua kwa 100 mill, kwani tatizo ni gani hapo ?

Ni vyema jipa thamani ambayo unaona unayo kuliko kupangiwa
 
Mrembo Dalali Pink ambaye ni mwendeshaji wa kipindi cha Tema Cheche cha Tiktok ameweka wazi kuwa mahari yake ni milioni mia kwa Mwanaume ambaye anataka kumuoa na kama itashuka sana basi milioni 90.

Dalali Pink amesema kuwa kiwango hicho cha mahari ameweka kwasababu yeye ni mzuri ana macho mazuri na anasheupu.

Chuja taarifa Mkuu sio kila taarifa ukiiona huko unaileta humu, halafu hizi nyuzi zinawekwa kwenye jukwaa la chit-chat
 
Back
Top Bottom