''Tema mate tumchape'' Yanga, Jumamosi 25 February 2017

Eti Ngada Fc... Tehe Tehe tehe
 
awamu ya nyerere alikuwa makini na misimamo kama awamu ya magufuli basi tutamfunga yanga kama kipindi cha nyerere 6-0
 
Simba endeleeni na historia za kipuuzi,jmosi tunawagonga 2 kavu

Refa atakayechezesha anatoka nchi gani ?

Kwa majigambo haya, simba mnafungwa tena moja tu....kimya!!

Acha kuota, ndoto za mchana wewe mkia. Tukutane 25 Feb, mubashara.

Msije potea humu ndani,nawakumbusha tu msimu uliopita tuliwa 0712 nje ndani

Simba mtakula maneno yenu

Mkiwa na forward yenu mavugo?
Habari za weekend Wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…