''Tema mate tumchape'' Yanga, Jumamosi 25 February 2017

''Tema mate tumchape'' Yanga, Jumamosi 25 February 2017

''Yanga Afilika'' ikiwa bado ina kumbukumbu za ''kupukuchuliwa'' goli 5 katika Kombe la Mapinduzi imekuwa na bahati mbaya tena wiki hii siku ya Jumamosi ambapo itakutana na kiboko yao Simba Taifa Kubwa.
Yanga ambayo katika maandalizi yake ya jumamosi imekuwa ikipoteza mda mwingi kuwajadili Ajibu, Mavugo na Juma Luzio huku kwa tabu itafuta uchochoro wa kuuvuka ukuta wa Mwajale, Bukungu, Shabalala, Kotei na Agjei

Kwa sasa sina mengi zaidi ya kuwatakia kipigo chema Yanga siku ya jumamosi, na kuwasihi Simba wapunguze hasira kwani wenzetu hawa wapo kwenye kipindi kigumu kutokana na majibu ya Vipimo vya Mkemia Mkuu
View attachment 472709
Eti Ngada Fc... Tehe Tehe tehe
 
awamu ya nyerere alikuwa makini na misimamo kama awamu ya magufuli basi tutamfunga yanga kama kipindi cha nyerere 6-0
 
Simba endeleeni na historia za kipuuzi,jmosi tunawagonga 2 kavu

Refa atakayechezesha anatoka nchi gani ?

Kwa majigambo haya, simba mnafungwa tena moja tu....kimya!!

Acha kuota, ndoto za mchana wewe mkia. Tukutane 25 Feb, mubashara.

Msije potea humu ndani,nawakumbusha tu msimu uliopita tuliwa 0712 nje ndani

Simba mtakula maneno yenu

Mkiwa na forward yenu mavugo?
Habari za weekend Wakuu?
 
Back
Top Bottom