Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaomba uje hapa JumamosiSimba endeleeni na historia za kipuuzi,jmosi tunawagonga 2 kavu
Eti Ngada Fc... Tehe Tehe tehe''Yanga Afilika'' ikiwa bado ina kumbukumbu za ''kupukuchuliwa'' goli 5 katika Kombe la Mapinduzi imekuwa na bahati mbaya tena wiki hii siku ya Jumamosi ambapo itakutana na kiboko yao Simba Taifa Kubwa.
Yanga ambayo katika maandalizi yake ya jumamosi imekuwa ikipoteza mda mwingi kuwajadili Ajibu, Mavugo na Juma Luzio huku kwa tabu itafuta uchochoro wa kuuvuka ukuta wa Mwajale, Bukungu, Shabalala, Kotei na Agjei
Kwa sasa sina mengi zaidi ya kuwatakia kipigo chema Yanga siku ya jumamosi, na kuwasihi Simba wapunguze hasira kwani wenzetu hawa wapo kwenye kipindi kigumu kutokana na majibu ya Vipimo vya Mkemia Mkuu
View attachment 472709
Ni swala la kihistoria kumbeKumbe yanga kupigwa nyingi na simba haijaanza leo?
Mkiwa na forward yenu mavugo?awamu ya nyerere alikuwa makini na misimamo kama awamu ya magufuli basi tutamfunga yanga kama kipindi cha nyerere 6-0
Mkuu naomba tubet,Simba atapiga 2 kwa 1,na Mavugo atatupia 1Mkiwa na forward yenu mavugo?
1988 pia uligongwa 2-1 kupitia kwa edward chumila na john makelele1987 na 1988 mlikuwa mnashuka daraja ...kumbukeni historia yote
Kumbe ningebeti ningepiga hela eeehMkuu naomba tubet,Simba atapiga 2 kwa 1,na Mavugo atatupia 1
Kumbe ningebeti ningepiga hela eeehMkuu naomba tubet,Simba atapiga 2 kwa 1,na Mavugo atatupia 1
Kuna wachawi humu[emoji15] -jokeMkuu naomba tubet,Simba atapiga 2 kwa 1,na Mavugo atatupia 1
Simba endeleeni na historia za kipuuzi,jmosi tunawagonga 2 kavu
Refa atakayechezesha anatoka nchi gani ?
Kwa majigambo haya, simba mnafungwa tena moja tu....kimya!!
Acha kuota, ndoto za mchana wewe mkia. Tukutane 25 Feb, mubashara.
Msije potea humu ndani,nawakumbusha tu msimu uliopita tuliwa 0712 nje ndani
Simba mtakula maneno yenu
Habari za weekend Wakuu?Mkiwa na forward yenu mavugo?
[emoji2] [emoji2]Habari za weekend Wakuu?
Hahahahahaaaa mbayaaaaaaaaaHabari za weekend Wakuu?
Kumbe ulitoa matoke sahihi na mfungaji ww nomaKumbe ningebeti ningepiga hela eeeh
Bwawani hali si shwari...Habari za weekend Wakuu?