Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Mkurugenzi wa bendi ya fungakazi modern taarab kapteni abdalla temba wamejikuta wakichambana na mkurugenzi wa bongo modern taarab anayejiita senior bachelor
Hii imetokea baada ya senior bachelor kutunga jisong lenye mashair yanayomtaja temba kuwa ni shoga huku akimwiita shoga wa mombasa alokubuhu.
Baada ya temba kupata taarifa hizo naye aliachia shairi kwa kile alichoita kumjibu senior bachelor kwa kumuita limbukeni,mwanaume suruali, kaoa maharage ya mbeya, na kumuita hanisi mbebea kapu wanaume wenzie
Kiukweli raha ya kichambo kimfikie mlengwa, raha ya dongo hulengwa kwa mlengwa.
Daima ukitaka ugomvi usiogope kupokea chenji ya kuchambwaa