Temba na Senior Bachelor wachambana mitandaoni

Temba na Senior Bachelor wachambana mitandaoni

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
Mkurugenzi wa bendi ya fungakazi modern taarab kapteni abdalla temba wamejikuta wakichambana na mkurugenzi wa bongo modern taarab anayejiita senior bachelor

Hii imetokea baada ya senior bachelor kutunga jisong lenye mashair yanayomtaja temba kuwa ni shoga huku akimwiita shoga wa mombasa alokubuhu.

Baada ya temba kupata taarifa hizo naye aliachia shairi kwa kile alichoita kumjibu senior bachelor kwa kumuita limbukeni,mwanaume suruali, kaoa maharage ya mbeya, na kumuita hanisi mbebea kapu wanaume wenzie

Kiukweli raha ya kichambo kimfikie mlengwa, raha ya dongo hulengwa kwa mlengwa.

Daima ukitaka ugomvi usiogope kupokea chenji ya kuchambwaa
 
Suala la temba na huyo bachelor limekua likikua siku hadi siku wanagombanaje wakat wameoa nyumba huyo bachelor kamuoa dadake temba
 
Picha zao (mimi siwafahamu) na hiyo michambo tafadhari.
 
Hawa nao hawana adabu pamoja na kuwa wamiliki wa bendi
 
Badillisha heading bana...tunaingia kwa kudhani ni Temba yule wa "muda ulivyofika si umeme ukakatika...utasema Tanesco walijua kama mimi leo nitaua"
 
Suala la temba na huyo bachelor limekua likikua siku hadi siku wanagombanaje wakat wameoa nyumba huyo bachelor kamuoa dadake temba
Labda dada ndo chanzo hujui lililopo nyuma ya pazia
 
Temba a.k.a Mbabe wa mdomo,Dracula,Mmea duh nikiwa nashangaa mhuni kaanza kuchambana tena kumbe ni ayo mapunga zeze.
 
Huyu dogo wa magenge ya juu kigamboni mnayemuita kepteni temba mbona ni hotel a.k.a shoga kitambo tu
 
Analiwa eeh maana mimi huwa,simuelewagi
hakuna asiyefahamu hilo kwa huku kigamboni.. Kuanzia feri, tuamoyo, midizini, tungi, vijibweni nadhani wote wanalitambua na hata ndugu zake wanajua
 
hakuna asiyefahamu hilo kwa huku kigamboni.. Kuanzia feri, tuamoyo, midizini, tungi, vijibweni nadhani wote wanalitambua na hata ndugu zake wanajua
Hatarii jaman mbona anajifanyaga ameoa???
 
Back
Top Bottom