Sijasema konstebo anapokea 15M,nimesema anapokea net take home 5M Ila RPC ndo yupo kwenye 15-18M.Mkuu uwe unasoma na kuelewaUnachokitafuta utakipata, labda unatafuta likes. Kama sikosei Konstebo ni Askari asie na cheo chochote, sasa huyo ndio anapokea 15M!!!!??? kwa mwezi!!! WE UMEVURUGWA.
Siku ccm wakushundwa,hao wasanii wote wataikumbia ccmTemba kafanya vizuri sana, Polepole ameshapata ujumbe, japo wanawapata hao wasanii kwa njaa zao, lakini mioyo ya hao wasanii wote iko upinzani, CCM muache kujidanganya muda wenu wa kuendelea kuitawala nchi hii ulishapita.
Wote tumeona wahuni wakijificha nyuma ya polisi na kuurushia mawe msafara wa Chadema jana kule Hai, kama walikuwa wanajikausha hawajui kilichotokea, sasa Temba keshawachafua roho kwenye tamasha lao, hata wakimshusha jukwaani tayari ujumbe umeshafika.
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Police wa Tanzania,inayoongozwa na jembe JPM na chama bora Africa ccm,minimum wage kwetu Tanzania ccm police force is 5,000,000.kama ulikuwa unatuchukulia poa ndo ujue sisi si wa muchezoWe jamaa usipotoshe Polisi huyu wa Tanzania unayemzungumzia au wa Taifa jingine?
Ujumbe umewafikia walengwa hata akishushwa jukwaani haina shida [emoji23][emoji23][emoji23]Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"
Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.
Watu wanatema nyongo live!
Unafer sasa mikePolice wa Tanzania,inayoongozwa na jembe JPM na chama bora Africa ccm,minimum wage kwetu Tanzania ccm police force is 5,000,000.kama ulikuwa unatuchukulia poa ndo ujue sisi si wa muchezo
What the fvck are you talking about [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi pia ni police,hivyo nakuambia kile ninachokipokea
I am so sorry for you dudeWhat the fvck are you talking about [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mshahara wa laki 4 wakiweka deduction unapata 350+
Hahahaaaa........ Umewaona Mchomvu na Mbasha!Wana lumumba wote mnatumia majani
Ni makada wa ccm haoHahahaaaa........ Umewaona Mchomvu na Mbasha!
[emoji16]Yes constable,RPC yupo kwenye 15-18m per month
[emoji3577]Hiyo ni life style tuliochagua mkuu,we are ccm police force kwa hiyo lazima tuwe unique kutoka kwenye nyumba tunazoishi,mavazi and everything,ndo maana hata watoto wetu wanasoma nje ya nchi
Adam ni Chadema yule anajulikana kitambo!Ni makada wa ccm hao
Tatizo hutaki kusumbua ubongo wako au labda unajifanya mwana ccm hapa jf tu wakati hata makao makuu ya ccm hawakutambui.Adam ni Chadema yule anajulikana kitambo!
Hahahaaaa...... Mbona umekasirika kuambiwa Mchomvu yuko kwa akina Sugu!Tatizo hutaki kusumbua ubongo wako au labda unajifanya mwana ccm hapa jf tu wakati hata makao makuu ya ccm hawakutambui.
Mchomvu yupo ccm kitambo kwa taarifa yako, kumbe hujui lolote kazi yako kupiga kelele tu jf.
Naona bora nikupuuze tu, sasa nikasilike kitu hapo?Hahahaaaa...... Mbona umekasirika kuambiwa Mchomvu yuko kwa akina Sugu!
Mkuu hivi Kuna mtu kwenye duniani hii hajawahi kukopa?Hivi kukopa imekuwa indicator ya umasikini? Any way kuweza tu kukopesheka kukupe ufahamu kuwa tunapiga mpunga mrefu na ndo maana tunaipigania ccm kwa nguvu zetu zoteWewe ni kilaz.a kweli hawa wanao kopakopa Laki moja moja kila katikati ya mwezi mtaani.
Na kuja kutoa elfu 20 ya Rushwa kwenye mpesa zetu?...
5,000,000 haijumuishi pesa ya kubrah viatuBila shaka hiyo wage itakuwa inajumuisha na ile ya "ku_brush viatu" waliyoruhusiwa kunyan'ganya kwa Wadanganyika.
Acha uwongo wewe. Unafikiri hatuna ndugu ambao NI polisi?Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home