Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Unachokitafuta utakipata, labda unatafuta likes. Kama sikosei Konstebo ni Askari asie na cheo chochote, sasa huyo ndio anapokea 15M!!!!??? kwa mwezi!!! WE UMEVURUGWA.
Sijasema konstebo anapokea 15M,nimesema anapokea net take home 5M Ila RPC ndo yupo kwenye 15-18M.Mkuu uwe unasoma na kuelewa
 
Temba kafanya vizuri sana, Polepole ameshapata ujumbe, japo wanawapata hao wasanii kwa njaa zao, lakini mioyo ya hao wasanii wote iko upinzani, CCM muache kujidanganya muda wenu wa kuendelea kuitawala nchi hii ulishapita.

Wote tumeona wahuni wakijificha nyuma ya polisi na kuurushia mawe msafara wa Chadema jana kule Hai, kama walikuwa wanajikausha hawajui kilichotokea, sasa Temba keshawachafua roho kwenye tamasha lao, hata wakimshusha jukwaani tayari ujumbe umeshafika.
Siku ccm wakushundwa,hao wasanii wote wataikumbia ccm
 
We jamaa usipotoshe Polisi huyu wa Tanzania unayemzungumzia au wa Taifa jingine?
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
 
We jamaa usipotoshe Polisi huyu wa Tanzania unayemzungumzia au wa Taifa jingine?
Police wa Tanzania,inayoongozwa na jembe JPM na chama bora Africa ccm,minimum wage kwetu Tanzania ccm police force is 5,000,000.kama ulikuwa unatuchukulia poa ndo ujue sisi si wa muchezo
 
Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!

"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"

Kilichofuatia kazimiwa mic na camera zikaelekezwa kwingine. Baadaye naona wanarudi na TID.

Watu wanatema nyongo live!
Ujumbe umewafikia walengwa hata akishushwa jukwaani haina shida [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Police wa Tanzania,inayoongozwa na jembe JPM na chama bora Africa ccm,minimum wage kwetu Tanzania ccm police force is 5,000,000.kama ulikuwa unatuchukulia poa ndo ujue sisi si wa muchezo
Unafer sasa mike
 
Hiyo ni life style tuliochagua mkuu,we are ccm police force kwa hiyo lazima tuwe unique kutoka kwenye nyumba tunazoishi,mavazi and everything,ndo maana hata watoto wetu wanasoma nje ya nchi
[emoji3577]
 
Adam ni Chadema yule anajulikana kitambo!
Tatizo hutaki kusumbua ubongo wako au labda unajifanya mwana ccm hapa jf tu wakati hata makao makuu ya ccm hawakutambui.

Mchomvu yupo ccm kitambo kwa taarifa yako, kumbe hujui lolote kazi yako kupiga kelele tu jf.
 
Hahahaaaa...... Mbona umekasirika kuambiwa Mchomvu yuko kwa akina Sugu!
 
Wewe ni kilaz.a kweli hawa wanao kopakopa Laki moja moja kila katikati ya mwezi mtaani.

Na kuja kutoa elfu 20 ya Rushwa kwenye mpesa zetu?...
Mkuu hivi Kuna mtu kwenye duniani hii hajawahi kukopa?Hivi kukopa imekuwa indicator ya umasikini? Any way kuweza tu kukopesheka kukupe ufahamu kuwa tunapiga mpunga mrefu na ndo maana tunaipigania ccm kwa nguvu zetu zote
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Acha uwongo wewe. Unafikiri hatuna ndugu ambao NI polisi?
 
Back
Top Bottom