Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Ndugu, umedhamiria kweli au umepitiwa tu? Au Dharau!?
 
Hawa wasanii wanaisapoti ccm Ila waoga Sana wanaogope
 
Dah...hawakupenda kuambiwa ukweli?
 
...Natarajia kidole chako kimetereza katika kubofya hizo tarakimu!
Kitakuwa kimebofya kizenji!
Polisi wa Tanzania apokee Milioni 5 kwa Mwezi???
Wangekuwa wanatubana tutoe hela ya kupiga kiwi viatu vyao????
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
 
Waliokwenda pale Ni watu wasio na kazi. Watu wasio na mbele wala nyuma. Hakuna hata kijana mmoja mwenye shughuli yake inayomuingizia kihalali alikwenda pale. Pia Kuna wachache waliokwenda kumuona King na Mondi.
 
Loooh Bavicha Wanapenda Dezo Yaani Wamejazana Tamasha La CCM mpaka Inashangaza....

CCM km Maji Vile....Kuoga Huyataki,Basi Hata Kunywa Na Kipupwe Hichi?!!!
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Kwa taarifa nilizonazo polisi wetu wa cheo cha chini wanao hudumu ulinzi wa amani kule Darful ndiko wanalipwa kuanzia kima icho na zaidi ila siyo Tz.
 
Umemfunga mdomo
 
Police wa Tanzania si masikini,labda Kama anazungumzia umasikini wa akili na fikra,Ila kwenye kipato hakuna police masikini,minimum wage ya police wa Tanzania ni 5,000,000 take home
Umeandika ukiwa tungi au!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…