Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Habari zenu.
Kuna kitu nimekutana nacho weekend hii kwa kweli sio tu kimenishangaza Bali nilisema nitashare huku labda kuna vya kushangaza zaidi.
Tulikua tumekaa sehemu fulani hivi tukilipa kodi. Mmoja wetu akagaa anaenda kushusha "kubwa".
Mmoja wa wadada akasema kati ya starehe yake kubwa ni kupuu. Na akitaka kwenda kupuu huwa anavaa high heels anabeba na simu yake anaingia kazini.
Havai heels kabisa kwenye maisha ya kawaida ila pale tu anapotaka kwenda kupuu naa hizo heels zake zinakaa toilet.
Mwingine nae ni mvuta sigara na yeye akitaka kupuu anaingia na sigara zake kadhaa toilet anafanya mambo huku anavuta sigara.
Nimeshangaa zaidi maana nilijua ni simu tu ndo watu huwaga wanaingia nazo nikasema ama kweli tembea uone