Tembea uone

Tembea uone

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Habari zenu.

Kuna kitu nimekutana nacho weekend hii kwa kweli sio tu kimenishangaza Bali nilisema nitashare huku labda kuna vya kushangaza zaidi.

Tulikua tumekaa sehemu fulani hivi tukilipa kodi. Mmoja wetu akagaa anaenda kushusha "kubwa".

Mmoja wa wadada akasema kati ya starehe yake kubwa ni kupuu. Na akitaka kwenda kupuu huwa anavaa high heels anabeba na simu yake anaingia kazini.
Havai heels kabisa kwenye maisha ya kawaida ila pale tu anapotaka kwenda kupuu naa hizo heels zake zinakaa toilet.

Mwingine nae ni mvuta sigara na yeye akitaka kupuu anaingia na sigara zake kadhaa toilet anafanya mambo huku anavuta sigara.

Nimeshangaa zaidi maana nilijua ni simu tu ndo watu huwaga wanaingia nazo nikasema ama kweli tembea uone
 
Hiyo ni starehe namba moja ya mtu binafsi isiyo na bugudha
 
Cster Mzigua90 hayo ni mambo ya kawaida linapokuja swala la starehe binafsi, na kila mtu ana lake. We ukipenda wakati unakunywa lager chupa iwe na vile vimatone vya baridi kwa nje wengine wanapenda wakati wanakunywa juice glass iwe na ice cube kwa ndani [emoji1474]
 
Habari zenu.

Kuna kitu nimekutana nacho weekend hii kwa kweli sio tu kimenishangaza Bali nilisema nitashare huku labda kuna vya kushangaza zaidi.

Tulikua tumekaa sehemu fulani hivi tukilipa kodi. Mmoja wetu akagaa anaenda kushusha "kubwa".

Mmoja wa wadada akasema kati ya starehe yake kubwa ni kupuu. Na akitaka kwenda kupuu huwa anavaa high heels anabeba na simu yake anaingia kazini.
Havai heels kabisa kwenye maisha ya kawaida ila pale tu anapotaka kwenda kupuu naa hizo heels zake zinakaa toilet.

Mwingine nae ni mvuta sigara na yeye akitaka kupuu anaingia na sigara zake kadhaa toilet anafanya mambo huku anavuta sigara.

Nimeshangaa zaidi maana nilijua ni simu tu ndo watu huwaga wanaingia nazo nikasema ama kweli tembea uone
Pia sinzia uanguke
 
Nilifanya kazi na wachina wanapenda kulakula hovyo, ukiingia chooni kwao hakuna harufu ya mavi bali ni sigara tu unakanyaga vipisi vya sigara kama upo kiwandani😂🚬🚬
 
Kibaya zaidi hiyo starehe ndiyo inayoongoza kunyofoa roho za watu vyooni...
 
Bado naendelea kuchunguza kwanini nashindwa kuimba nikiwa napata haja kubwa....

Wimbo wa Whitney Houston wa I Love You ile kuvuta vocal huku nashusha mzigo kwa wakati mmoja.... nashindwa...!
I love singing whenever am alone.
 
Ww unashangaa hilo yupo mtu anakwambia huwa anaenjoy sana ile harufu ya mzigo wakati anapuuu [emoji23],yaani hio ndio starehe yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumana lol
 
Back
Top Bottom