Tembele Bamia na mchicha, kwa lugha ya kiingereza hivi vitu vinaitwaje?

bamia -ladyfinger au oats km sikosei

mchicha nishasahu ila biologiocal name nakumbuka form 1 amaranther
 
huwa somtym unatumia kinywaji?/ mbn umekuwa payupayu sana ? ni wewe kweli? toka kwenye interview full kivuruge why dis !yy kaomba kujua hayo mawili wewe unamuwekea mengine!!!!!!!!!
kageuka mbayuwayu[emoji2] [emoji2]
 
Duh mi nalima tu ila sivijui kwa kiingereza sasa juzi kati hapa wazungu wmenitoa jasho ndiyo nikasema kuna umuhimu wa kuvijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…