Tembele Bamia na mchicha, kwa lugha ya kiingereza hivi vitu vinaitwaje?

Tembele Bamia na mchicha, kwa lugha ya kiingereza hivi vitu vinaitwaje?

Salad mkuu
Nilikuja kuijua baadae baada ya kumuuliza Mganda mmoja tukiwa huko nje. Ila nilijisikia vibaya sana. Hata chipsi wenzetu walikuwa wanaita French fries, sisi wabongo tumekazana chips, tukawa tunapishana nao lugha. Lakini nilijifunza mambo especially menu za misosi
 
Mhhh....tembele nini?????
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Asante mkuu mana nilikuaga natafuta maana ya nyama ya turkey kwa kiswahil [emoji2] nikawa sijui mpk nikawa nawadaganya wagen wangu ni nyama ya mbuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilikuja kuijua baadae baada ya kumuuliza Mganda mmoja tukiwa huko nje. Ila nilijisikia vibaya sana. Hata chipsi wenzetu walikuwa wanaita French fries, sisi wabongo tumekazana chips, tukawa tunapishana nao lugha. Lakini nilijifunza mambo especially menu za misosi
Wajuvi wa mambo hebu mtwambie hivi neno chips tulilitoa wapi wakati kienglish ni French fries!!
 
Back
Top Bottom