kyula
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 698
- 458
Definitely mkuu[emoji23] [emoji23]Ni matumaini yangu kwa kukuchekesha Kwangu huko pia nimeweza kusogeza mbele japo ' Kiduchu ' tu lifespan yako Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Definitely mkuu[emoji23] [emoji23]Ni matumaini yangu kwa kukuchekesha Kwangu huko pia nimeweza kusogeza mbele japo ' Kiduchu ' tu lifespan yako Mkuu.
Biringanya imezoeleka zaidi eggplant.Ngogwe - garden eggs
Biringanya - aubergine
Hoho- sweet pepper
Majani ya kunde - sweet bean leaves
African eggplant=gongwe,biringanya=eggplant hayo ndo common na yanatumika mavyuoniNgogwe - garden eggs
Biringanya - aubergine
Hoho- sweet pepper
Majani ya kunde - sweet bean leaves
Sikumawiki = notpussyweekBamia=Bahundred
Mchicha=Mstreo
[emoji13] [emoji13] [emoji13] hatar kwel nakumbuka form ll hyo tabia ya kuongezea hivyo maneno ilikuwepo hasa hasa kwenye malumbano ya kimadarasa
- Tembelering
- Bamiaring
- Mchicharing
VegetablesWazee wakulima wenzangu naomba mnisaidie hii kitu
Machenza=tangerineMachenza je?
Kuna mzungu alikuja bongo alikuwa anayaita mshenzi'sMachenza=tangerine
Na spinach inaitwajeBamia ni lady's finger au okra, mchicha ni spinach na matembele ni sweet potato(s) leaves
Wazee wakulima wenzangu naomba mnisaidie hii kitu
Albadili ktk ubora wake uwiiiiii ndukiiiii
- Tembelering
- Bamiaring
- Mchicharing
Oats ni nafaka jamii ya ngano mpendwaladyfingers(oats) bamia,mchicha nimesahau !ila kibiolijia nakumbukaga ni amaranther
Oats ni nafaka jamii ya ngano mpendwa