Nilikuja kuijua baadae baada ya kumuuliza Mganda mmoja tukiwa huko nje. Ila nilijisikia vibaya sana. Hata chipsi wenzetu walikuwa wanaita French fries, sisi wabongo tumekazana chips, tukawa tunapishana nao lugha. Lakini nilijifunza mambo especially menu za misosiSalad mkuu
nimeipenda bamialadyfingers(oats) bamia,mchicha nimesahau !ila kibiolijia nakumbukaga ni amaranther
kwanini mchicha waitwa SPINACH ?ladyfingers(oats) bamia,mchicha nimesahau !ila kibiolijia nakumbukaga ni amaranther
amaranthus- mchicha, na Bamia ni okra ama comon name ni ladyfingers yaani vidole vya mwanamke/mremboladyfingers(oats) bamia,mchicha nimesahau !ila kibiolijia nakumbukaga ni amaranther
kwanini mchicha waitwa SPINACH ?
Mchicha ni amaranthus mkuu sio spinach, kuna watu wanachanganya mboga za majani majina yaani mchicha hauko hata family moja na hizo spinachkwanini mchicha waitwa SPINACH ?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mhhh....tembele nini?????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
- Tembelering
- Bamiaring
- Mchicharing
Umepata kazi mgahawa wa waingereza?Wazee wakulima wenzangu naomba mnisaidie hii kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mzungu alikuja bongo alikuwa anayaita mshenzi's
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante mkuu mana nilikuaga natafuta maana ya nyama ya turkey kwa kiswahil [emoji2] nikawa sijui mpk nikawa nawadaganya wagen wangu ni nyama ya mbuni
poa aisee mkuuBiringanya ni eggplant
Wajuvi wa mambo hebu mtwambie hivi neno chips tulilitoa wapi wakati kienglish ni French fries!!Nilikuja kuijua baadae baada ya kumuuliza Mganda mmoja tukiwa huko nje. Ila nilijisikia vibaya sana. Hata chipsi wenzetu walikuwa wanaita French fries, sisi wabongo tumekazana chips, tukawa tunapishana nao lugha. Lakini nilijifunza mambo especially menu za misosi