Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi bado inasumbua aisee ilikuwa inanisevu sana kuhusu dataMimi ndo natumia apa
Hata mimi nilifikiri mwanzo inawezekana wamekata connectionNahisi hao jamaa wanampango wakuiondoa!
wameirudisha mkuu jaribu.
Bora! Maana tangu isumbue nikapata na likizo ya lazima kutokuingia jamvini.wameirudisha mkuu jaribu.
Hapa nilipo nacomet kupitia free basic.nikikosa bando sijuutii mda wangu.natumia free basic kuingia jfAcha izo mkuu jf sa ivi haipatikani kwenye freebasics
Ndio play store.ipo
Hata kwangu ilizingua sana baadaye nikapata wazo la kuingia bing na kuseach jamiiforums.com uki click tayrBora! Maana tangu isumbue nikapata na likizo ya lazima kutokuingia jamvini
Unaingiaje bing? sina utaalam huo nayo nikama freebasic haitumii data?Hata kwangu ilizingua sana baadaye nikapata wazo la kuingia bing na kuseach jamiiforums.com uki click tayr
Bing nayo ni moja ya search engine kama google yenyewe ipo freebasics kama ilivyo jf sa ndo hapo uta type website ya JF na kuingia kama kawaUnaingiaje bing? sina utaalam huo nayo nikama freebasic haitumii data?
vp, bado uko na voda wako?Bando la chuo sishindwi kuingia yaan ni 500MB kwa 500 wiki zima nashindwaje kwa mfano?
Asante vodacom
Sawa nimekupataBing nayo ni moja ya search engine kama google yenyewe ipo freebasics kama ilivyo jf sa ndo hapo uta type website ya JF na kuingia kama kawa