Tembo wa Afrika wanaweza kufugwa kama wale wa Asia?

TEMBo wa afrika ni marufuku kuwaona mpaka uwe tourist halafu ukiwa ndani ya gari hivyo hawajazoea kukutana na binadamu
 
Hahhaah kwahiyo tembo wanakulaga bangiπŸ˜€
Bange na mirungi, pamoja na nyati πŸ₯΄πŸ₯΄. Wakisha kula bange na mirungi wanaaza kuvunja miti, kufukua visiki na n.k πŸ˜…πŸ˜…
 
Kumbe hata ile tabia ya kukaa katikati ya barabara huwa wanakuwa high?
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, yani wakiwa vile ukiwaongezea na konyagi, πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Wahindi naamini wanatumia na madawa ya kishirikina kuwafanya wawe submissive

Kule wilaya ya Rombo niliwahi kushuhudia tembo amefungwa kishirikina hawezi kwenda popote tanapa wakaja wakamuua tukamla nyama

Kama wasukuma na wagogo wanaweza kufunga mafisi na machatu basi wakikomaa hata tembo wanaweza
 
Hawa wa huku wamevurugwa akili kama waafrika wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…