Tembo wa Afrika wanaweza kufugwa kama wale wa Asia?

Bange na mirungi, pamoja na nyati 🥴🥴. Wakisha kula bange na mirungi wanaaza kuvunja miti, kufukua visiki na n.k 😅😅
Kuna kipindi maeneo ya manyoni kama unaelekea Aghondi yaliwahi kulala relini kundi kubwa sana treni ilibidi kusimama hadi kuja kutolewa kwa nguvu na askari wa maliasili kiukweli huwa maduwanzi yakiamua kukitifua mbona hapatoshi.
 
Yawezekana ni njia yao tangu miaka na miaka, hivyo wanaona ni haki yao kupumzika hilo eneo watakavyo. 😊
 
Back
Top Bottom