little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,465
- 4,862
Kuna kipindi maeneo ya manyoni kama unaelekea Aghondi yaliwahi kulala relini kundi kubwa sana treni ilibidi kusimama hadi kuja kutolewa kwa nguvu na askari wa maliasili kiukweli huwa maduwanzi yakiamua kukitifua mbona hapatoshi.Bange na mirungi, pamoja na nyati π₯΄π₯΄. Wakisha kula bange na mirungi wanaaza kuvunja miti, kufukua visiki na n.k π π
Yawezekana ni njia yao tangu miaka na miaka, hivyo wanaona ni haki yao kupumzika hilo eneo watakavyo. πKuna kipindi maeneo ya manyoni kama unaelekea Aghondi yaliwahi kulala relini kundi kubwa sana treni ilibidi kusimama hadi kuja kutolewa kwa nguvu na askari wa maliasili kiukweli huwa maduwanzi yakiamua kukitifua mbona hapatoshi.
Sahihi kabisa huwa kuna maelezo kama hayo niliwahi kuyasikia kuwa kama ni njia yao huwa hawaisaliti vizazi na vizazi.Yawezekana ni njia yao tangu miaka na miaka, hivyo wanaona ni haki yao kupumzika hilo eneo watakavyo. π
Yeah memory yao ni kubwa sanaSahihi kabisa huwa kuna maelezo kama hayo niliwahi kuyasikia kuwa kama ni njia yao huwa hawaisaliti vizazi na vizazi.
Ahsante kwa taarifa