Napendekeza vyanzo vipya vya kodi, ongezea ktk listi vyanzo vipya pendekezwa:
- Napendekeza kodi za nyongeza za kila mwaka kwa umiliki wa chombo cha redio , tv ili kuweza kuendesha propaganda za TBC Radio na Televisheni.
- Baiskeli zimekuwa nyingi pia zitozwe kodi za kutumia miundombinu ya barabara za lami na zile za vumbi zilizochongwa na serikali ya "mitano tena"
- Kodi ya Kiti ktk basi za daladala na mabasi ya mwendokasi ya DART kila safari
- Kodi ya kitanda gesti ya kila siku kwa mgeni anayefika kulala gesti
- N.k