Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

Napendekeza vyanzo vipya vya kodi, ongezea ktk listi vyanzo vipya pendekezwa:

  1. Napendekeza kodi za nyongeza za kila mwaka kwa umiliki wa chombo cha redio , tv ili kuweza kuendesha propaganda za TBC Radio na Televisheni.
  2. Baiskeli zimekuwa nyingi pia zitozwe kodi za kutumia miundombinu ya barabara za lami na zile za vumbi zilizochongwa na serikali ya "mitano tena"
  3. Kodi ya Kiti ktk basi za daladala na mabasi ya mwendokasi ya DART kila safari
  4. Kodi ya kitanda gesti ya kila siku kwa mgeni anayefika kulala gesti
  5. N.k
 
Lipeni kodi hamuwezi kutwa kujitangaza insta na kuonyesha uzoefu wa kazi zenu sehemu mbalimbali huku hamlipi ushuru msijifanye hamjaelewa.
 
Bora iwe hivyo maana sherehe zimezidi sasa na michango. Watanzania badala ya kuchangia school fees wanachangia sherehe za ajabu ajabu. Hongera sana uongozi wa Dar kwa maamuzi hayo.
 
Hii nchi tunakoelekea sijui aiseeee mi birthday yangu nyumbani kodi ya nini kwani birthday ni biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Birthday ni starehe 😂 ,,, sahivi kodi sio za biashara tu...Starehe yeyote lazima uilipie kodi hata kugongana na mpenzi wako lazma ulipe kodi
 
Yan Yani bar kwangu, mziki ni wangu halafu aje shoga kuniletea habari za kodi ya muziki. Kitakachompata atakipenda 😂😂😂!!!

Tunapolekea unaweza tiwa dole la tako ukauchuna kisa unaogopa serikali.
 
Kabla sijatoa maoni, ambayo sijajua ni sahihi au la!!.. ktk maisha yangu nimewahi fanya kazi ya mauzo mkoa flan hapa tz, na ilikua ili upige mziki maeneo ya mjn kwa ajili ya kunadi bidhaa zetu ilitupasa kulipa elfu per day, kwa halmshauri ndg ilikua ni elfu 20 per day.. hapo kwenye hilo bandiko hamna cha tofauti maana ni mziki ambao kisheria huwa unaombewa kibali ili ufanikishe, sio muumn sana wa utawala huu ila naona kuna sheria na taratibu zilikuwepo ila hazikufatiliwa ila zinapoibuliwa kwa uongozi huu, lawama anapewa Kiongozi au Rais wa Jamhuri, ifikie mahala tutoe maoni kwa ustaa, tusiwe kila kitu katk upande wa hasi
 

Good

Kuna usumbufu mwingi sana kwenye maeneo ya makazi ya watu, kelele ni nyingi bila sababu za msingi, nadhani walitakiwa kuongeza mstari hapo makongamani, na hata wale wanaouza CD pamoja na vinyozi
 
Bora iwe hivyo maana sherehe zimezidi sasa na michango. Watanzania badala ya kuchangia school fees wanachangia sherehe za ajabu ajabu. Hongera sana uongozi wa Dar kwa maamuzi hayo.
Haaa haaa hizo sherehe wanatunza pesa kwenye kibubu mkuu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…