Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
kila ubaya utalipwaNi maneno mawili tu
KA TA
Temeke ni kila siku.Na leo tena !
Aibu kubwa sana kwa ccmTemeke ni kila siku. Siku moja nimepita kule Keko viwandani nikakuta mashine zimezima hakuna umeme, vibarua wameshika tama hawajui watakula nini.
Kumbuka hao watu huenda kazini na nauli tu. Ama kweli mafisadi hayana huruma kabisa.
Cha kushangaza sasa ikifika saa 1 usiku ni lazima wakate , kurejesha ni majaaliwaTemeke imepitiliza.
Kwa siku mara hata kumi.
Maneno mawili KATA.
Nchi imewashinda kibwege sana !Nasikia Goba ni noma pia, hasa Goba center ni mgao wa kikatili
Bado hamjasemaNasikia Goba ni noma pia, hasa Goba center ni mgao wa kikatili
Mgawo mkali halafu hawatangazi yaani , Nchi ya kizamani sana hii .Bado hamjasema mpaka mseme
Kiukweli serikali ishashindwa kabisaPoleni na hili joto... hii serikali nayo ingebinafsishwa tu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Huwezi kuhifadhi chakula TemekeHalafu utakuta wapuuzi wanaleta mada mama anapendwa sana😏😏,wenye fresh food shops watakua wamefirisika mpaka sasa.
Inauma sana,labda hii hali itaamsha ari ya wananchi kudai haki zao za msingi.Huwezi kuhifadhi chakula Temeke