Temeke: Mgawo mkali wa Umeme kuliko hata ule uliotangazwa, wanakata mchana na usiku hakuna ratiba

Temeke: Mgawo mkali wa Umeme kuliko hata ule uliotangazwa, wanakata mchana na usiku hakuna ratiba

Watasema Maji yamezidi kipimo😥🤣wakati huu wa mvua
Ukame huwa wanasema mvua hakuna😥

Tusubirie kauli "Hilo nalo mkalitazame"🤔🤔
Tanasco wana nguvu za giza
 
Mi nilifikiri mbagala tu, kumbe ni wilaya yote ya temeke tunateswa hivi...
Yaani mbagala ni balaa, umeme unakatwa kila siku iendayo kwa Mungu. Tena sio Mara moja.
Unaweza ukakatwa asubuhi saa moja wakarudisha saa nane mchana, Kisha wakakata tena saa moja usiku na kurudisha saa nne usiku.
Watu wa mbagala tumedharaulika wanatuona Kama ngo'mbe tu.
Mgao gani huu jamani.
 
Back
Top Bottom