johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya.
Wengi wanadai ni heri kinunuliwe kivuko kipya.
TEMESA yafafanua:
MV Magogoni kilinunuliwa kwa Euro 5,287,800 Sawa na Tsh 9.3 billion Mwaka 2008, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 1756.
MV Magogoni kitakarabatiwa kwa Euro 3,043,791 Sawa na Tsh 7.5 billion Mwaka 2023, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 2487.
Gharama za ukarabati wa MV Magogoni ni Sawa na 57.8 tu ya gharama iliyonunuliwa.
Chanzo: Jambo TV
Nawatakia Dominica njema Kesho!