Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu naibu waziri ana usonji
Bado harufu ya ufisadi haiwezi kuomdoka kirahisi. Kwa nini wakakarabati Kenya, na wakati ndani ya nchibyetu tuna kampuni ya wazawa ya Songoro Marines ambao wana uwezo wa kutengeneneza hata kivuko kipya?
Kwa nini viongozi wetu wanakosa uzalendo kwa vitu vidogo kama hivi?
Waliokiunda leo hii hawana uwezo mkubwa kukikarabati.
Yaani ukatabati wa miezi mitano??
CAG atakuja kutueleza wakati wake ukifika..!! Time will tell..!!Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya.
Wengi wanadai ni heri kinunuliwe kivuko kipya.
TEMESA yafafanua:
MV Magogoni kilinunuliwa kwa Euro 5,287,800 Sawa na Tsh 9.3 billion Mwaka 2008, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 1756.
MV Magogoni kitakarabatiwa kwa Euro 3,043,791 Sawa na Tsh 7.5 billion Mwaka 2023, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 2487.
Gharama za ukarabati wa MV Magogoni ni Sawa na 57.8 tu ya gharama iliyonunuliwa.
Source: Jambo TV
Nawatakia Dominica njema Kesho!
Tupe rate sahihi ya 2008Kwa mwaka 2008 exchange rate haikuwa 1756@1, kwa kipindi hicho ilikuwa inakimbizana Pound, hata Us Dollar yenye ilikuwa exchange rate ilikuwa zaidi ya Tshs 1756 inayotajwa, labda waje na hoja nyingine!.
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Naungana na Dr mollel. Yaani vijana nchini kwako hawana ajira lakini serikali inapeleka fursa za ajira ugenini! Kampuni zetu za ndani zimekadiriwa Kodi lakini hazipewi kandarasi! Kampuni zetu za ndani zimeajiri wananchi ambao Wana familia na wanalipa Kodi serikalini Ila Cha ajabu wananyimwa kazi na wanapelekewa nchi jirani wakanufaike!Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya.
Wengi wanadai ni heri kinunuliwe kivuko kipya.
TEMESA yafafanua:
MV Magogoni kilinunuliwa kwa Euro 5,287,800 Sawa na Tsh 9.3 billion Mwaka 2008, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 1756.
MV Magogoni kitakarabatiwa kwa Euro 3,043,791 Sawa na Tsh 7.5 billion Mwaka 2023, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 2487.
Gharama za ukarabati wa MV Magogoni ni Sawa na 57.8 tu ya gharama iliyonunuliwa.
Source: Jambo TV
Nawatakia Dominica njema Kesho!
Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya.
Wengi wanadai ni heri kinunuliwe kivuko kipya.
TEMESA yafafanua:
MV Magogoni kilinunuliwa kwa Euro 5,287,800 Sawa na Tsh 9.3 billion Mwaka 2008, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 1756.
MV Magogoni kitakarabatiwa kwa Euro 3,043,791 Sawa na Tsh 7.5 billion Mwaka 2023, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 2487.
Gharama za ukarabati wa MV Magogoni ni Sawa na 57.8 tu ya gharama iliyonunuliwa.
Source: Jambo TV
Nawatakia Dominica njema Kesho!
Uchaguzi unakaribia, lazima tujipange, chama chetu cha Mambuzi hakiwezikushindwa,
uchaguzi unahitaji pesa,
Siasa ni sayansi bwashee
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Ushindani kwa njia ya zabuniBado harufu ya ufisadi haiwezi kuomdoka kirahisi. Kwa nini wakakarabati Kenya, na wakati ndani ya nchibyetu tuna kampuni ya wazawa ya Songoro Marines ambao wana uwezo wa kutengeneneza hata kivuko kipya?
Kwa nini viongozi wetu wanakosa uzalendo kwa vitu vidogo kama hivi?
Una mpango wa kuweka yako mkuu?Waruhusu kuwe na ferries za makampuni binafsi
Dah kweli huu ni ujinga aliousema Dr MolelPamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya.
Wengi wanadai ni heri kinunuliwe kivuko kipya.
TEMESA yafafanua:
MV Magogoni kilinunuliwa kwa Euro 5,287,800 Sawa na Tsh 9.3 billion Mwaka 2008, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 1756.
MV Magogoni kitakarabatiwa kwa Euro 3,043,791 Sawa na Tsh 7.5 billion Mwaka 2023, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 2487.
Gharama za ukarabati wa MV Magogoni ni Sawa na 57.8 tu ya gharama iliyonunuliwa.
Source: Jambo TV
Nawatakia Dominica njema Kesho!
Itakuwa raha. Just imagine kama zile bajaji za walemavu. Na wengine watakuwa wanshusha Nbc bank kabisaa.Waruhusu kuwe na ferries za makampuni binafsi
Pamoja na huo ufafa..nuzi hatukubaliii!!!Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya.