SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
CCM ni wote wapigaji wanazidiana viwango tuBado harufu ya ufisadi haiwezi kuondoka kirahisi. Kwa nini wakakarabati Kenya, na wakati ndani ya nchi yetu tuna kampuni ya wazawa ya Songoro Marines ambao wana uwezo wa kutengeneneza hata kivuko kipya?
Kwa nini viongozi wetu wanakosa uzalendo kwa vitu vidogo kama hivi?